Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu kubwa sana duniani, hususani kwa bara la Ulaya
shamrashamra za sikukuu hii zinakuwa kubwa sana tofauti na Afrika, Mtu
wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyopost
au kusherehekea sikukuu ya Chrismass na familia, watu wao wa karibu na hata na wapenzi wao. Miongoni mwa mastaa wanaosherehekea sikukuu hii ni Luis Suarez, Neymar, Cristiano Ronaldo, Beckham na familia yake.
KAMATI YA BUNGE UGANDA, YAVUTIWA NA MIUNDOMBINU YA UDOM
-
Wakiwa kwenye picha ya pamoja ni ujumbe kutoka Uganda, wakiwemo wabunge wa
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, wa Bunge la Uganda.
Katikati ni...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment