Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 23, 2016

DMV YAKUMBWA NA TUFANI YAPATA THELUJI YA INCHI 20 MPAKA 30

Mid Atlantic States Prepare For Large Snow Storm
Wakaazi wa DMV wakijinunulia mahitaji muhimu kwa tahadhali ya theluji kabla ya kuanguka usiku wa kuamkia leo jumamosi Januari 23 iliyoambatana na upepo mkali maeneo mengine ukikanyaga theluji mguu unatitia mpaka kwenye goti.
Mid Atlantic States Prepare For Large Snow Storm
Magari ya kukwangua theluji na kumwaga chumvi akijiatayarisha kwa theluji iliyoanguka usiku wa kuamkia leo Jumamosi DMV.
Mid Atlantic States Prepare For Large Snow Storm
Theluji ikianza kuanguka maeneo ya manara katikati ya jiji la Washington, DC.

Mid Atlantic States Prepare For Large Snow Storm
Theluji inavyoonekana mapema leo kwenye mjengo wa bunge la Marekani.
Mid Atlantic States Prepare For Large Snow Storm
 Askari Polisi pamoja na adha yote ya theluji alikua imara kuangalia usalama wa mali na raia.
Mapema leo asubuhi Silver Spring.
Mitaa ya Hyattsville.
Mid Atlantic States Prepare For Large Snow Storm
Wanafunzi wakiwahi majumbani siku ya Ijumaa Januari 22, 3016 wakati theluji ilipokua ikianza kuanguka

 Mid Atlantic States Prepare For Large Snow Storm
Mid Atlantic States Prepare For Large Snow StormMid Atlantic States Prepare For Large Snow Storm

No comments:

Post a Comment