Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 8, 2016

HII NDIO LIST YA WALIOMPIGIA KURA MBWANA SAMATTA NA IDADI YA KURA


Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Aly Samatta ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi ya ndani ya Afrika.
IMG_20160108_041315 (1)
Baada ya tuzo kumalizika, Samatta alilala hivi
Hapo chini ni  list ya waliomuwezesha Samatta kutwaa tuzo hiyo na kuwashinda golikipa TP Mazembe Robert Mutebe Kidiaba wa Kongo na Baghdad Bounedjah mualgeria anayeichezea klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia

 
 Kama ulikuwa hujui tuzo hiyo upigiwa kura na makocha wa timu za taifa, ila baada ya utolewaji wa tuzo kumalizika shirikisho la soka la Afrika CAF lilitoa list kamili ya makocha waliompigia kura Samatta.
ranm2ranm23

No comments:

Post a Comment