Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 8, 2016

HIVI NDIVYO G-NAKO WA WEUSI ALIVYOPOTEZA DOLA 3000 ZA KIMAREKANI


Kwenye U Heard January 7 2016 Soudy Brown ana stori ya kusikitisha kidogo leo !!
G Nako mkali wa chorus kutoka crew ya Weusi kwa bahati mbaya kapoteza pesa ambayo ni dola 3,000 wakiwa kwenye kikao cha wasanii !!
Kapatikana Baba Levo, ambaye amesimulia kwamba mazingira yanaonesha G Nakoalikaa akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu ambao sio rahisi kumwibia G Nako, kwa hiyo huenda pesa hiyo kaangusha.

 
Nikk wa Pili ambae ni msemaji wa Weusi amesema bado hawajajua ni mazingira yapi pesa hizo zimepotea lakini zilikuwa ni dola 3,000 ambazo ni zaidi ya milioni 6.5 kwa pesa ya Kitanzania.

No comments:

Post a Comment