Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 29, 2016

IDRIS AKUBALI YEYE NDIYE ALIYEMPA MIMBA WEMA SEPETU,WEMA ANENA SOMA KILA KITU HAPA

Wema alimwambia idris kuwa anataka kusafisha kizazi...idris akasema subiri kwanza tujaribu tuone kwa hiyo akamwambia siku ya kufanya hilo tendo asile kitu chochote kuanzia saa tano na mida ya jioni waweze kufanya kitu hicho..baada ya kufanya hicho kitu  kesho yake wema akaanza kutest mkojo

 
 na vipimo vyake kuona kama amenasa mara vipimo vikaonesha kama amenasa.baada ya kuona hivyo akapagwa na akaona ni bora aende kwa daktari wake ili apate uhakika zaidi.
daktari naye akathibitisha kwamba ni kweli amepata mimba.mtandao huu wa thechoice unawapa hongera sana wema sepetu na idris

No comments:

Post a Comment