Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 21, 2016

MAJALIWA ATEMBELEA KIJIJI CHA CHINANGALI DODOMA KUKAGUA ATHARI ZA NJAA  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera Bunge, Vijna,Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama wakisalimiana na Bibi Vai Madelema na mwanae  Josia Madelema (kushoto) wakati walipotembelea kijiji cha Chinangali wilayani Chamwino ambako walikwenda kukagua athali za njaa kwa wanakijiji Januari 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment