Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 4, 2016

MOTO WA RAIS MAGUFULI WATUA MWANZA,KIGOGO MWINGINE ATUMBULIWA NA KUSIMAMISHWA KAZI


Naibu Waziri Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga fensi ya Halmashauri ya Wilaya.


Nafasi yake atakaimu Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi utakapo kamilika.
No comments:

Post a Comment