Manunuzi ya vitu vya thamani unaofanywa na bondia maarufu Floyd Mayweather unaendela na sasa jamaa kanunua gari yenye thamani ya dola milioni $3.5. Gari hii ni Bugatti ambayo bado haijatoka na kuruhusiwa kununuliwa na raia yeyote.
Mtandao wa Tmz umeripoti kuwa Mayweather amebadilisha Bugatti collection yake kwa kuongeza mpya na kuuza ile ya zamani , Bugatti aliyonunu ni ya mwaka 2017 inaitwa Bugatti Chiron.
Picha,Floyd Mayweather kanunua Bugatti mpya kwa dola milioni 3.5 za Kimarekani. Gari hii haijaingia sokoni,anayo yeye tu
No comments:
Post a Comment