Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kushoto kwake ) wakielekea kwenye Chumba cha mapumziko baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea na kupokelewa na wanachi na viongozi wa mkoa huo Januari 3, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma , Thabiti Mwambungu na kushoto ni Mbunge wa Songea Leonidas Gama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Rais Samia Suluhu Hassan Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali
-
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika taasisi za umma. Kwa mujibu
wa ta...
11 hours ago
No comments:
Post a Comment