Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 22, 2016

YANGA YAITANDIKA MAJIMAJI GOLI 5 BILA NA KUPAA KILELENI

 Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 5 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Majimaji ya Songea uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa.
 Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko (kulia), akikumbatiana kwa furaha na Amisi Tambwe baada ya kuifungia timu yake bao la 5-0 dhidi ya Majimaji ya Songea. 
 Furaha ya ushindi.

 
 Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko akichuana na beki wa Majimaji.
 Mwamuzi wa mchezo wa Yanga na Majimaji, John Funuel akimkabidhi mpira mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe baada ya kuifungia timu yake 'hat trick'.
 Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Majimaji.
 Kiungo wa Majimaji Lulanga Mapunda akichuana na Donald Ngoma wa Yanga.
 Golikipa wa Majimaji, David Bururhan akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Golikipa wa Majimaji, David Bururhan akiokoa hatari mbele ya Amisi Tambwe.

No comments:

Post a Comment