Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa kampuni ya Gezhouba kutoka China kuhusu masuala ya uwekezaji. Kushoto ni kiongozi wa msafara huo Mhandisi Hu pend.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa kampuni ya Gezhouba kutoka China.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Shell Deepwater Tanzania BV Alex Knope walipokutana ofisini kwake Ikulu kwa ajili ya kumsalimia.
No comments:
Post a Comment