Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 3, 2016

MFADHILI WA COASTAL UNION AWAJAZA MAPESA BAADA YA KUIFUNGA YANGA MABAO 2-0.‏

kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union,Salim
Amiri akimkabidhi fedha kiasi cha milioni mbili (2000,000) Nahodha wa
timu hiyo,Hamis Mbwana “Kibacha” zilizotolewa na Mfadhili wa timu
hiyo,Alhaji Salim Bajaber ambaye ni mkurugenzi wa kiwanda cha Unga cha
Pembe Tanga wanaoshuhudia ni viongozi wa timu hiyo makabidhiano hayo
yalifanyika viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mara baada ya
kumalizika mazoezi ya jana jioni.
Nahodha wa timu ya Coastal Union, Hamis Mbwana
“Kibacha” akionyesha juu fedha alizizokabidhiwa milioni mbili (2000,
000) kama motisha baada ya kuifunga timu ya Yanga zilizotolewa na
Mfadhili wa timu hiyo,Alhaji Salim Bajaber ambaye ni mkurugenzi wa
kiwanda cha Unga cha Pembe Tanga wanaoshuhudia ni viongozi wa timu
hiyo makabidhiano hayo yalifanyika viwanja vya shule ya sekondari
Popatlaly mara baada ya kumalizika mazoezi ya jana jioni.
 
Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union, Salim Amiri
akitoa nasaha kwa wachezaji wa timu hiyo kuhakikisha wanafanya vizuri
kwenye michezo yao inayofuata ili waweze kumaliza Ligi kuu wakiwa
nafasi za juu mara baada ya kupokea kitita cha sh.2000, 000 kama
motisha baada ya kuifunga timu ya Yanga zilizotolewa na Mfadhili wa
timu hiyo,Alhaji Salim Bajaber ambaye ni mkurugenzi wa kiwanda cha Unga
cha Pembe Tanga wanaoshuhudia ni viongozi wa timu hiyo makabidhiano
hayo yalifanyika viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mara baada
ya kumalizika mazoezi ya jana jioni  kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa
timu hiyo, Salim Bawaziri na wa kwanza kushoto ni Kocha Mkuu wa timu
Ally Jangalu na wajumbe wa kamati ya utendaji wa timu hiyo.
Kaimu Katibu Mkuu wa timu ya Coastal Union,Salim
Bawaziri akitoa nasaha zake kwa wachezaji mara baada ya kukabidhiwa
fesha kiasi cha milioni mbili (2000,000) (2000, 000)kama motisha baada
ya kuifunga timu ya Yanga zilizotolewa na Mfadhili wa timu hiyo,Alhaji
Salim Bajaber ambaye ni mkurugenzi wa kiwanda cha Unga cha Pembe Tanga
wanaoshuhudia ni viongozi wa timu hiyo makabidhiano hayo yalifanyika
viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mara baada ya kumalizika
mazoezi ya jana jioni

No comments:

Post a Comment