Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 8, 2016

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AMTEMBELEA MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIRY HOSPITALI MUHIMBILI.


 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry aliyelazwa kwa matibabu katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Masaju pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Mohamed Janabi leo Jumatatu February 8, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisindikizwa wakati wa kuondoka baada ya kumjulia hali Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry 

 
aliyelazwa kwa matibabu katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Mohamed Janabi 
leo Jumatatu February 8, 2016.

No comments:

Post a Comment