Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 9, 2016

PICHA 3::MCHEZAJI ZOUMA WA CHELSEA AVUNJIKA VIBAYA MGUU WAKE

Mguu wa Kurt Zouma ulivyopinda mara baada ya kutua vibaya alipokuwa ameruka juu.
Beki wa kati wa Chelsea, Kurt Zouma ameumia goti lake upande wa nyuma baada ya kutua vibaya wakati akirejea chini alipokuwa akiwania mpira wa juu katika mechi dhidi ya Man United iliyoisha kwa sare ya bao 1-1.
Beki huyo anaweza akakaa nje ya uwanja kwa muda mrefu na tayari wachhezaji wengine wakianza wa Man United, wamekuwa wakimliwaza.

…Akilia kwa uchungu baada ya kuumia
Juan Mata, alimfuata palepale uwanjani na Marouane Fellaini alikuwa wa kwanza kumpa pole baada ya mechi kwisha, lakini beki Luke Shaw ambaye pia ni majeruhi pia alitupia mtandaoni akimuombea apone haraka.

 
 
…Akitoka nje ya uwanja

No comments:

Post a Comment