Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 8, 2016

TAZAMA PICHA 6 ZA MSANII ROMA MKATOLIKI AAMUA KUACHANA NA UKAPERA,SASA KUOA


Roma Mkatoliki ni msanii Wa Hiphop ambaye amefanya maamuzi yake ya kuamua kuoa, picha hizi naambiwa ni kutoka kwenye Send-off akisindikizwa na mpambe wake akiwa ni Kala Jeremih ambaye pia ni msanii wa bongofleva.
roma 5
Kwenye picha ya pamoja na Mama
roma 3
Kala Jeremih na Roma
Roma 7

Roma 2
roma 4

Roma 1
Roma na Nancy ambaye ni mama wa mtoto wake aitwae Ivan (Picha zote zimepigwa na @KIDETE Instagram) picha zimetoka kwa @KalaJeremiah Instagram.

No comments:

Post a Comment