Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 10, 2016

TAZAMA PICHA: LIGI KUU UINGEREZA YAZINDUA LOGO MPYALigi Kuu ya Uingereza imezindua nembo (logo) mpya ambayo itatumika msimu ujao.
Hii ndo logo mpya itakayotumika msimu ujao wa ligi kuu Uingereza imezinduliwa
Muundo wa nembo hiyo mpya ina picha ya Simba – alama ambayo ni sehemu ya urithi wa mashindano ambayo yanarejea kuanzishwa kwake mwaka 1992.
Hii ndio app ya logo mpya ya ligi

Picha hiyo ya simba imekuwa ni alama maarufu kwenye logo ya Ligi Kuu tangu mfumo ulipobadilika kwenye msimu wa 1992-93, ikiwasilisha ushirikiano kati ya ligi na Shirikisho la Soka Uingereza – ambalo logo yake ina simba watatu.


Hii ilikuwa ndo Logo ya zamani yenye picha ya simba imekuwa maarufu

No comments:

Post a Comment