Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 15, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KUWAIT, MAHADHI


 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe Mahadhi Juma Maalim  ambaye alikwenda  ofisini kwa  Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe. Mahadhi Juma Maalim ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment