Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 1, 2016

FILAMU YA DIGITAL PASTOR KUWA MTAANI JUMATATU

luf 
Digital Pastor ni filamu kali ya Kitanzania ambayo itakua mtaani nchi nzima kuanzia Tar. 7 mwezi Machi jumatatu , ni DIGITAL PASTOR haijawahi tokea sanamu kuongea mti kuongea yote hayo yamo kwenye DIGITAL PASTOR 
 
imetengenezwa na kampuni ya kutengeneza filamu ya Lufedha Film Co humo wamo washiriki kama Beni Branco. mchekeshaji maarufu Senga. Salehe Lufedha. Modesti Bafite. nawengine wengi filamu hiyo ya DIGITAL PASTOR.

No comments:

Post a Comment