Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 7, 2016

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Dk Hamisi Kigwangala aongoza Matembezi ya " KUTOA AHADI YA UWIANO SAWA WA KIJINSIA "‏

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akijiandaa kuanza matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam  . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akiwa sambamba na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam  . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.


Mwenyekiti wa Tanzania Women of Achievement , Sadaka Gandi akiongea na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam  . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akiongea na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam  . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washirikimatembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam  . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.





No comments:

Post a Comment