Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 9, 2016

POLISI WAMDHALILISHA DEREVA WA DALADALA JIJINI DAR


Katika hali isiyo ya kawaida polisi waliokuwa zamu katika mechi ya Yanga na African Sports wakimzalilisha dereva wa daladala linalofanya kazi zake kati ya Mbagala na Makumbusho nje ya Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jambo hili liliwapa watu wengi viulizo maana dereva huyo alipowauliza kwanini wanamkamata tena kwa kumvamia na kuvuta??? Polisi hawa hawakuonyesha hali ya ubinadamu maana wao walivyofanya ni kumdhalilisha dereva. Tunaoomba wahusika waoneni polisi wenu mambo wanayoyafanya, ifike mahali mtu anapotii sheria bila shuruti hata kama hana kosa hakuna haja ya kutumia mabavu.
Dereva akijaribu kuuliza kwanini wanamfanyia vile wao wanaendelea kuvuta.

 
Chanzo Kajunason Blog

No comments:

Post a Comment