Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 9, 2016

WAZIRI MKUU, MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA TANO WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI  Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashriki, Kanda na Kimataifa, Balozi Augustino Mahiga akiapa kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki katika Mkutano wa Tano wa Bunge hilo uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim majliwa kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam Machi 8, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akihutubia Mkutano wa  Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Machi 8,2016

 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Job Ndugai wakiwa katika picha ya pamoja na Spikia wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Daniel Fredrick Kadega (katikati) baada ya kuhutubia Mkutano wa  Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Machi 8,2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiteta na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Daniel Fredrick Kadega baada ya kuhutubia Mkutano wa  Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Machi 8,2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiteta na Mbunge  wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji baada ya kuhutubia Mkutano wa  Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Machi 8,2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment