Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, March 10, 2016

RADIO MPYA YA WANANZENGO JIJINI MWANZA, KUANZA KURUKA HEWANI RASMI.

Imethibitika kuwa Hit Radio Station ijulikanayo kwa jina la LAKE FM ya Jijini Mwanza inatarajia kuanza kuruka hewani rasmi kupitia 102.5 kuanzia wiki ijayo.

Redio mpya ya wananzengo Mkoa wa Mwanza itakua hewani rasmi kuanzia jumatatu wiki ijayo Machi 14, 2016. 
Tunaposema Raha ya rock city unaelewa nini? Follow @lakefm_mwanza kucomment ili tujue mapokeo yako. 
#LakeFM #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.

No comments:

Post a Comment