Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 2, 2011

PROFESA JAY: gari langu pekee sasa hivi ni hili

PROFESA JAY: gari langu pekee sasa hivi ni hili

      

hii ndio SPACIO, gari pekee alilobakiwa nalo PROFESA JAY.
HIPHOP LEGEND wa Tanzania Profesa Jay amesema hana mpango wa kurudi kununua tena magari ya kifahari kama alivyofanya time iliyopita.
amesema “sasa hivi nina gari moja tu aina ya SPACIO, inatumia mafuta kidogo, na inanisaidia kufanya mizunguko vizuri kabisa, ndio maana nawaambia wenzangu wajipange kabisa, kweli magari ya kifahari yanakupa sifa mtaani lakini mwisho wa siku haikusaidii” Prof J
ameongeza kwambanimeshatumia magari niliyoyanunua kwa bei kubwa, MERCEDES BENZ ya milioni 15 & BMW ya milioni 12 ambapo MERCEDES BENZ alipata nayo ajali DJ CHOKA, kitu pekee nilichofanikiwa kukitoa baada ya ajali ni  ni ROZARI TU yani kwa ufupi ilinipoteza kabisa, na BMW pia nilichonunulia sio nilichokipata” – PROF J 
time flani zilizopita hii ndio aina ya gari nililowah kumuona nalo PROF JAY, ilikua nyekundu na muonekano huo huo.

No comments:

Post a Comment