Shoti iliyotokea mda si mrefu maeneo ya njiro kwenye ofisi za world vision nusura ilete madhara baada ya nguzo kushika moto na kuwaka.bila kuwapigia kelele sijui ingekuaje
Nguzo ya umeme ikotoka moshi mkubwa sana
Hapa moshi ukipungua taratibu
No comments:
Post a Comment