Tegemea zawadi kubwa sana kama Rick
Ross ni mshikaji wako alafu umemualika katika fuction yako. Hiyo
imemtokea msanii Meek Mill baada ya kupewa funguo ya Range Rover ya
mwaka 2012 wakiwa red carpet ikiwa ni katika Birthday ya Meek Mill
akitimiza umri wa miaka 25, imehappen weekend iliyoisha katika Yacht
yake Bawse Rozay. Siku hiyo walikuwa watu kibao kutoka label ya MMG kama
Wale na Juelz Santana…Usiku wa leo tunaparty mpaka noma kunywa pombe
nyingi sana kwa ajili ya haters. Alisema rapper Philly. .
Afya : QYT Yaendelea Kupanua Huduma zake Jijini Dar es Salaam
-
Kampuni ya QYT inayojihusisha na huduma za tiba mbadala pamoja na kutoa
fursa Kwa vijana, imeendelea kupanua miradi yake Kwa kufunga tawi jipya
katika...
54 minutes ago
No comments:
Post a Comment