Tarehe
21 Januari, 2014 Mhe. Begum K. Taj, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania nchini Hispania mwenye makazi yake Paris Ufaransa aliwasilisha
Hati zake za Utambulisho kwa Mtukufu Juan Carlos I,
Mfalme wa Hispania. Hafla hii ilifanyika kwenye kasri ya mfalme (Zarzuela
Palace) Madrid Hispania. Pichani Mhe. Balozi Begum K. Taj akimkabidhi Mtukufu Juan Carlos I, Mfalme wa Hispania, Hati zake za Utambulisho.

Mhe.
Balozi Begum K. Taj pamoja na mabalozi wengine waliowasilisha hati zao
wakimsikiliza kwa makini Mtukufu Juan Carlos I, Mfalme wa Hispania.
Jumla ya Mabalozi 14 waliwasilisha hati zao siku hiyo.
No comments:
Post a Comment