Mwanamke
Saidiana Kigwangise (26) mkazi wa kijiji cha Itede wilaya ya Kilolo
mkoa wa Iringa anayedaiwa kucharaza bakora 30 na afisa mtendaji
wa kijiji hadi mimba yake ya miezi mitatu kutoka
Mjamba
wa mwanamke huyo Chesco Malack Kipindi akimuuguza mgonjwa huyo
nyumbani eneo la Frelimo mjini Iringa baada ya kuruhusiwa Hospitali ya
mkoa wa Iringa akiwa bado kupona.
Picha kwa hisani ya Francis Godwin
No comments:
Post a Comment