Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya Rais wa lebo ya Sharobaro Records
ya jijini Dar es Salaam, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ kufunga pingu za
maisha, kimwana anayetarajiwa kupika mahajumuti nyumbani kwa bosi huyo
wa wasafi dunia nzima amejulikana.
Kwa mujibu wa habari kutoka chanzo kimoja kilichopo mjini Zanzibar, kimeidokeza Teentz.com kuwa Bob Junior huenda akafunga pingu za maisha na nyota wa filamu kutoka visiwani humo Halima Ally ‘Imma’ ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa karibu kwa kiasi kikubwa na Produza huyo kila anaikanyaga ardhi ya visiwa hivyo vya karafuu.
“Hakuna mwingine ni Halima, siku zote Bob junior…

No comments:
Post a Comment