mabondia wa bigright boxing wakiwa mazoezini
kocha wa bigright boxing ibrahim akiwanoa vijana
Mabondia wa klabu ya mazoezi ya
bigright ya mwananyamala wameahidiwa baiskel na katibu kata wa vijana wa
CCM kinondoni REHEMA MBEGU ili ziwasaidie kwenda mashuleni mwao na
mazoezini,Rehema mbegu mara nyingi huwa yupo karibu sana na vijana hao
katika ushauri na kuwasaidia chakula na vinywaji wakati wakijiandaa na
mashindano mbalimbali ,safari hii ameamua kutoa baiskeli ili kuhamasisha
ushindani zaidi na kuwapa moyo vijana kupenda zaidi michezo kuliko
vijiwe.
Baada ya kuhakikishiwa kuwa kila bondia atakae shinda toka klabu ya ngumi ya bigright atazawadiwa baskeli,wameahidi kukatika mikono ulingoni yaani ni lazima washinde na wamebadilisha mfumo mzima wa mazoezi,kwa sasa wapo pamoja,kikambi zaidi nyumbani kwa kocha wao Ibrahim bigright na kuongeza muda zaidi wa mazoezi kwa sasa wanafanya mara tatu hadi nne kwa siku.
Mabondia hao ambao wanategemea kupanda ulingoni july 15 DDC-kariakoo ni Issa Omar(bigright boxing) atakaechapana na Ramadhan Kumbele toka kambi ya matumla katika uzani wa fly,Mwaite juma toka bigright boxing atapigana na mkongwe Anthony Mathias katika uzani wa bantam.
Ambao watakuwa wakisindikiza pambano la ubingwa wa taifa kati ya JUMA FUNDI wa keko na BAINA MAZOLA wa mabibo toka kambi ya mzazi
mapambano hayo yameandaliwa na kaike siraju na kusimamiwa na TPBO

No comments:
Post a Comment