Roli aina ya
SICANIA lililokuwa limebeba mchanga likiwa limeacha njia na kuingia
kwenye kwenye Bar ijulikanoyo kama Kmm maeneo ya Tegeta Kibaoni jijini
Dar es salaam leo kwenye ajali hiyo mtu mmoja amefariki hapohapo na
wengine wawili majeruhi.
Mabaki ya vifaa mbalimbali vilivyoharibiwa kwenye bar hiyo baada ya kutokea kwa ajali hiyo leo maeneo ya Tegeta.
Jeshi la polisi likiimarisha ulinzi katika ajali hiyoiliyotokea leo maeneo ya Tegeta Kibaoni.KWA HISANI YA FULL SHANGWE

No comments:
Post a Comment