Kama nilivyo waataarifu kupitia mtandao wa facebook kwamba kuna boti ilikua inazama ni kweli sasa boti imeshazama na boti ya kampuni ya sea gut iliyokuwa inatoka dar es salaam kwenda unguja,chanzo cha ajali hiyo ni kuzimika kwa injini zote za boti hiyo,endelea kuwa na mimi nitakapopata habari na picha nitaziweka hapa,pole kwa wote waliopatwa na ajali hii.
UCHAGUZI CCM TANGA:MWANAFA AMPIGIA DEBE USTADH RAJAB
-
📍Awaonya wajumbe wasifanye ushabiki wa Messi na Ronaldo
Na Mashaka Mhando, Muheza.
MBUNGE wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utama...
11 hours ago

No comments:
Post a Comment