skip to main |
skip to sidebar
DUUH NI WANAFUNZI SASA! HAYA NI ZAMU YA WANAFUNZI WA ELIMU YA VYO VYA ELIMU YA JUU WAPINGA MIGOMO YA MADACTARI!
Kundi
la wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini, wakiwa na mabango
jana katika hospitali ya taifa, Muhimbili, Dar es Salaam, kushinikiza
madaktari waache mgomo.
Kiongozi
wa wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya juu Abubakari Assenga
(kushoto), akiwa na Katibu wa Jumuia ya Madaktari Tanzania, Edwin
Chitange, baada ya maandamano ya wanaharakati hao kufika Muhimbili
kushinikiza madaktari kusitisha mgomo
Kiongozi
wa wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya Juu, Abubakar Assenga
akizungumza na waandishi wa habari baada ya maandamano yao kufika
Muhimbili kushinikiza madaktari kuacha mgomo.
Mwanamke
aliyekuwa akisubiri kuona mgonjwa wake, Katika hospitali ya Muhimbuli,
Dar es Salaam, Helen Thomas, akisoma bango lililoachwa na wanaharakati
hao wa vyuo vya elimu ya juu.
Wanaharakati wa vyuo vya elimu ya juu, wakihanikiza baada ya kufika Muhimbili kutaka madaktari waache mgomo
No comments:
Post a Comment