EXCLUSIVEEEEE::::: UNAWAKUMBUKA PINGU NA DESSO???? HAYA HAWA PAMOJA TENA NA VIDEO YAO MPYA USINIBANIE JICHO ENJOYYYY
WAKALI muziki wa kizazi kipya Bongo Ramadhani Kalesela 'Pingu' na Deogratius Freddy 'Desso' ambao kitambo kidogo walitengana na kufanya kazi ya muziki wakiwa pande mbili tofauti kutokana na sababu za hapa na pale wamerudi kufanya kazi pamoja kama ilivyokuwa awali.
Akipiga stori na Teentz.com mapema leo Bosi wa Kruu ya 'Tip Top Connection', Bab Tale, ambaye ndiye amesimamia mpango mzima wa nyota hao kutoka upya wakiwa pamoja amearifu kuwa mara kadhaa alikuwa akipata maombi kutoka kwa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya juu ya kuwaweka pamoja tena wakali hao hivyo akaona kuna haja ya kuheshimu mawazo ya mashabiki wake na kuamua kuweka kando tofauti zilizokupo na kuwatoa upya nyota hao kwenye ngoma mpya iliyopewa jina la 'Jicho Usimbanie'.
Yalikuwa ni maombi ya mashabiki, walitaka kusikia ngoma kutoka kwao wakiwa pamoja, nashukuru mungu kuwa nilipowaambia jambo hilo hawakuping ana hatimaye kazi imefanyika kikubwa ni wadau kuipokea ngom ahiyo ambayo rasmi itautambulisha uwepo wa pamoja tena kwa wasanii hao ambao kitambo waliowahi kutamba na ngoma ya 'Jonita'" alisema Talle
kwa upande wake Desso ameimabia Teentz.com kuwa alikuwa siku zote amekuwa akisubiri kwa shauku kubwa nafasi ya kufanya kazi akiwa pamoja na mshikaji wake huyo wa Long Time, hivyo anashukuru kuwa hilo limetimia katika wakati huu muhimu ambao muziki wa kizazi kipya unazidi kusambaa duniani kote.
"siku zote nimekuwa nasubiri kwa hamu nafasi hii nashukuru kuwa ndoto imetimia ninachoamini ni kuwa huu ni mwanzo wetu wa kufanya makubwa kwenye muziki huu kama ilivyokuwa awali, nawashukuru mashabiki wetu kwa kutuvumilia na kuonyesha kuwa walimisi kazi zet ni wakati wao sasa kufurahiakile walichokuwa wakikiomba kila siku" alisema.
STORI NA DISMAS TEN 0718489260
NBAA YAPAA KIMATAIFA
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeshiriki
mkutano wa Baraza la Shirikisho la Wahasibu Duniani (IFAC Council 2024)
unaofan...
RAIS MAGUFULI NA HISTORIA ISIYOFUTIKA
-
Na Emmanuel J. Shilatu
Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius
Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhur...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment