Msanii wa Filamu Nchini Jaqlin Wolper akizungumza na waandishi wa habari
Dar es salaam leo kuhusu mpambano wake wa masumbwi na Wema Sepetu
utakaofanyika Katika uwanja wa Taifa siku ya sabasaba
Kocha wa bondia Wema Sepetu ambani Msanii Bondia Rashidi Matumla akiongea kwa niaba wakati wa kutambulisha mpambano uho leo
Moja ya mabango yanayonesha kuwepo na mpambano wa
Francis Cheka na Japhert Kaseba likiwa limewekwa makutano ya Barabara ya
Uhuru na Msimbazi kwa ajili ya kuamasisha Tamasha la matumaini
litakalofanyika Katika uwanja wa taifa Dar es salaam na burudani kibao
kutoka kwa wasanii mbalimbali nchini. picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
No comments:
Post a Comment