Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 6, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA BAARZA LA MAWAZIRI DODOMA JANA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi serikalini  baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha  Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi serikalini  baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment