Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 6, 2012

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA ATEMBELEA SABASABA




Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijja(katikati) akikata utepa (leo) jijini Dar es salaam kuzindua maadhimisho ya miaka 40 tangu Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kilipoanzishwa. Maadhimisho hayo yamefanyika katika banda la Wizara ya Fedha kwenya maonyesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam . Wengine ni Rais wa Wanafunzi IFM Michael Charles(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha IFM Profesa Godwin Mjema(wa pili kutoka kulia)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijja akikata utepe ili aweze kufungua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa  maadhimisho ya miaka 40 tangu Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kilipoanzishwa leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho hayo yamefanyika katika banda la Wizara ya Fedha kwenya maonyesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam 
Msemaji wa Wizara ya Fedha Ingiahedi Mduma(kushoto) akimwonyesha Katibu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kulia) machapisho mbalimbali leo jijini Dar es salaam ambayo yatumika katika kuwaelimisha wananchi wanaotembelea banda hilo wakati wa maonyesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijja akifungua pazia  (leo) jijini Dar es salaam kuashiria uzinduzi rasmi wa  maadhimisho ya miaka 40 tangu Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kilipoanzishwa. Maadhimisho hayo yamefanyika katika banda la Wizara ya Fedha kwenya maonyesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam.SOURCE FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment