Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 6, 2012

KOCHA MPYA WA YANGA THOM ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI



Kulia ni Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa, katikati Thom anasaini. Kushoto The Don Seif Ahmad 'Magari'

Kocha mpya wa Yanga, Thom Saintfiet jioni hii amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha klabu hiyo na baada ya kusaini, akasema hakuja Tanzania ‘kustarehe’ amekuja kufanya kazi na sera yake ni ushindi. Anataka ushindi na mataji. Amesema jaribio lake la kwanza ni kutetea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, katika michuano inayoanza Julai 14, Dare s Salaam (Habari kamili baadaye). Tazama picha za kusaini kwake Mkataba makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam.SOURCE BIN ZUBEIRY

No comments:

Post a Comment