DK. 2: Yanga wanapata kona na wanashindwa kuitumia.
DK. 5: Hamis Kiiza anakosa goli la wazi.
DK 10: Yanga wanapoteza nafasi nyingi sana mpaka wakiwa wanalishambulia lango la Wasudan kama nyuki.
DK 13: Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaal Said Bahanuzi anaifungia Yanga goli la kuongoza.
DK 17: Said Bahanuzi anapiga bao la pili hapa uwanja wa taifa.
DK 19: Hamis Kiiza hatimaye anaipatia Yanga goli la 3.
Goli zuri sana toka kwa kiiza
DK 25 Hamis kiiza anaandika goli la nnee
DK ya 30 Hamis Kiiza anapachika goli la tano
DK 36 Hamisi kiiza anafunga goli la sitaaaaaa
Manji kaingia uwanjani hapa kapiga suti yake nyeusi na miwani
DK 44 Kipa wa Yanga Berko yupo chini anatibiwa
DK 47 Nizar kakosa goliiiiii hapa
HALFFFFF TIMEEEEEEEEE KIPINDI CHA KWANZA KIMEISHA
KIPINDI CHA PILI NDO KINAANZA HAPA
DK 45: Juma Seif Kijiko anaingia kuchukua nafasi ya Kelvin Yondan
DK 58 NI FAULOO ANAPIGA PALEE GOOOOOOOOO AHHHHHHH INAGONGA MSAMBAAA WA PANYA PALE DAHHHH
DK 59 IDRISA ANAINGIA MWASIKA ANATOKA
DK 65 NIZAR ANAKOSA GOLI LA WAZI ANAPIGA JUUUUU
DK YA 87 WAW WANAFANYA MABADILIKO


No comments:
Post a Comment