NDAGA WILAYANI RUNGWE VURUGU TUPU BARABARA YAFUNGWA ZAIDI YA MASAA MANNE KISA LITOLEWE GETI LA USHURU WA MAZAO
OFISI YA USHURU WA MAZAO NDAGA IMEBOMOLEWA NA KUCHOMWA MOTO
BARABARA YA MBEYA RUNGWE IMEFUNGWA ZAIDI YA MASAA MANNE
WAKAZI
WA NDAGA WILAYANI RUNGWE WAMEFUNJA GETI LA USHURU WA MAZAO NA NA
KUCHOMA OFISI HIYO YA USHURU KWA MADAI HAWAONI FAIDA YA GETI HILO KWANI
LIMEJAA RUSHWA TUPU NA UNYANYASAJI KWA WAKULIMA
Michezo : Zawadi Ligi ya Muungano Kuboreshwa
-
Na; Mwandishi Wetu, Unguja
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf
Masauni amesema msimu ujao wa Ligi ya Muungano utaboresh...
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment