Meneja wa Bia ya Ndovu special Malt
Pamela Kikuli akizungumza na wadau mbalimbali waliofika kushuhudia
uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo katika Hotel ya Serena jijini Dar
Es Salaam-Kushoto na kulia ni miongoni mwa wadau wa bia hiyo nchini
Wadau mbalimbali na baadhi ya
wafanyakazi wa kiwanda cha bia nchini Tlb wakitaza sehemu ya mabadiliko
ya Bia ya Ndovu kwenye uzinduzi muonekano mpya wa bia hiyo katika Hotel
ya Serena jijini Dar Es Salaam ambapo bia hiyo iliweza kutambulisha
mabadiliko yaliyofanyika kwenye muonekano wake huku ladha yake ikibakia
kuwa ileile.Mabadiliko hayo yalifanyika baada ya Ndovu kushinda Medali
ya Pili ya juu kabisa ya Ubora duniani ya Grand Gold Quality Medal ya
Monder Selection.
No comments:
Post a Comment