![]()
Rais wa Ghana John Evans Fifii Atta Mills enzi za uhai wake.
Rais wa Ghana John Atta Mills amefariki dunia ghafla leo wakati akipata matibabu.
Taarifa kutoka ofisi ya rais zinasema kuwa alifariki ghafla baada ya kupelekwa hospitali siku ya
Jumatatu usiku. Msaidizi wake pia amethibitisha kufariki kwa kiongozi huyo aliyekuwa anajiandaa kugombea tena kiti cha urais. Rais John Atta Mills aliyezaliwa Julai 21, 1944 amefariki akiwa na umri wa miaka 68
Profesa Mapesa ndani ya Banda la TIA Maonesho ya Wiki ya Kitaifa Elimu
,Tanga
-
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) Profesa Haruni Mapesa
akisaini Kitabu wakati alipotembelea Banda la TIA katika Wiki ya Elimu
Kita...
18 hours ago

No comments:
Post a Comment