Jaji mkuu wa EBSS Rita Poulsen na Salama Jay wakiwa na wafanyakazi wa banda la Zantel kwenye maonyesho ya kimataifa ya biashara ya SabaSaba. |
MADAM RITA AKIKARIBISHWA KWENYE BANDA LA ZANTEL NA MKUU WA MASOKO BW. DEEPAK KUMAR GUPTA. |
SALAMA J AKIPIGA PICHA NA MSHABIKI WAKE. |
MADAM RITA AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL SABASABA |
MADAM RITA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI |
MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITA, SALAMA J NA MASTER J WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL. |
MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI. habari na shaffih dauda |
No comments:
Post a Comment