![]() |
| Aliyekuwa mgombea wa klabu ya Yanga Spots Bi. Sara Ramadhani, akielezea mbele ya waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam, juu ya kuenguliwa kwake katika kinyang'anyiro cha uenyekiti na klabu ya YaNga, kwa madai ya kutokidhi vigezo Sara Ramadhan amesema shirikisho hilo halina mamlaka ya kuingilia shughuili za klabu, pia amesisitiza kuwa yeye bado ni mgombea halali wa nafasi ya uenyekiti wa Yanga na kuwa sababu za kumuengua kwa kuwa hakupeleka vyeti katika shirikisho si sahihi na anapaswa kufanya hivyo endapo baraza la michezo ndio lingehitaji vyeti kwa kuwa Yanga ni klabu ya michezo mingi na si mpira wa miguu pekeee. |
DC SUMAYE AIPONGEZA TFS KUANDAA MAGAMBA WALKATHON
-
Na Oscar Assenga, LUSHOTO.
MKUU wa wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga Zephania Sumaye ameipongeza Hifadhi
ya Mazingira Asili ya Magamba wilayani Lushoto ...
41 minutes ago


No comments:
Post a Comment