Watu
zaidi ya 11 wanaripotiwa kufa kufuatia ajali ya mabasi mawili ya abiria
yaliyokuwa yakitokea Nairobi nchini Kenya kuja Dar es Salaam.Ajali hiyo
inaelezwa kuwa imetokea maeneo ya Daraja la mto Wami alfajiri ya leo
Mkoani Pwani.kutoka taarifa ya ITV ya saa sita leo imeeleza ivo tunazidi kufuatilia tutawaletea taarufa zaidi
NSIMBO WACHANGAMKIA MAJIKO YA RUZUKU
-
-Washukuru kufikishiwa majiko banifu kwa bei ya ruzuku
Wananchi wa Kijiji cha Mtakuja Kata ya Kapalala katika Halmashauri ya
Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment