Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 14, 2012

KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA CHAWAFURUMUSHA KWA MABOMU WACHIMBA KOKOTO WALIOFANYA VURUGU KIGAMBONI DAR



Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wameweka doria katika barabara kuu ya kutoka Kigamboni kwenda Mji Mwema Dar es Salaam leo, baada ya kudhibiti vurugu za wachimba kokoto wa eneo la Maweni ambao walifunga barabara hiyo kwa mawe kwa zaidi ya masaa natatu na kuchoma matairi wakishinikiza kuruhusiwa kuchimba kokoto. 
Baadhi ya mawe yaliyoondolewa barabarani baada ya kuwekwa na wachimba kokoto eneo la Maweni, Kigamboni. Watu kadhaa wanaotuhumiwa kufanya vurugu hizo wametiwa mbaroni.

No comments:

Post a Comment