MTOTO
mmoja ambaye hakufahamika jina lake, amefariki dunia katika ajali ya
gari eneo la Kigamboni Machava leo wakati gari hilo likitokea Mji Mwema
kuelekea Kivukoni. Ajali hiyo imetokea baada ya gari hilo lenye namba za
usajili T 645 AVG kufunga breki ghafla kutokana na gari lililokuwa
mbele yake nalo kusimama ghafla hivyo kusababisha gari hilo kuingia
mtaroni na kupoteza uhai wa mtoto huyo.
TEA YAKABIDHI MIRADI ILIYOKAMILIKA WILAYANI MTAMA NA MASASI.
-
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dkt. Leonard
Akwilapo, amekabidhi vyeti kwa shule tatu zilizonufaika na miradi ya Mfuko
wa Elimu wa ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment