Makarani
wa sensa kituo cha shule ya sekondari mansipaa ya Kinondoni wakiimba
wimbo wakutaka kulipwa posho za semina ya siku saba kiasi cha shilingi
245,000 ambapo madai yao ilikuwa walipwe leo lakini mpaka sasa bado
hakuna hata mmoja ambae amelipw.
Afisa
wa sensa ambaye hakutaka jina lake litajwe akiongea na makarani wa
sensa nakuwataka walipwe kiasi cha nusu ya posho ambayo ni shilingi
140,000,hata hivyo makarani hao waligoma wakidai kulipwa posho zao zote
ndipo waingie kazini,
Waandishi wa habari wakimhoji afisa wa sensa kutaka kujua chanzo cha vurugu hizo.
Makarani wa sensa wakiwa wamelizingira gari la afisa wa sensa kushinikiza kulipwa posho zao.
Makarani
wa sensa wakipata changamoto kutoka kwa maafisa wa polisi walipofika
katika eneo hilo kutaka kujua lini watalipwa posho zao.
No comments:
Post a Comment