Wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake wakiingia kwenye uwanja wa John Mwakangale kujionea maonyesho ya kilimo |
Banda la kampuni ya simu ya TTCL |
Wafanyakazi wakampuni ya TTCL Mbeya wakitoa maelezo kwa wananchi wanaotembelea banda hilo |
Moja ya wafanyakazi wa TTCL Mbeya akimweleza mwananchi jinsi mtandao wa kisasa wa kuweza kuwsiliana na kufanya mikutano kwa kuonana kwa kutumia Televisheni inayotumia matandao wa kisasa |
Hili banda la Benki kuu ya Tanzania tawi la mbeya moja ya wanfanyakazi wa benki hiyo akiwaeleimisha wanafunzi jinsi benki hiyo inavyofanya kazi katika maonyesho hayo yanaoendelea katika kiwanja hicho |
Baadhi ya wananchi wanaoendelea kutembelea banda hilo la BOT tawi la Mbeya wakipatiwa maelezo ya jinsi ya kutunza fedha na kutambua noti badia na noti halali |
Chuo kikuu teku nao wapo uwanjani hapa |
Kama kawaida biashara ya mitumba inaendelea uwanjani hapa wananchi wakijipatia viatu kwa bei rahisi |
Biashara ya mitumba ya nguo inaendelea |
na mbeyayetu.blogspo
No comments:
Post a Comment