Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rubani Bomani na wanaanga
wenzie wa Ndege za Serikali kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala,
Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuuasubuhi leo Agosti 8,
2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam Mhe Saidi Mecky Sadik kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala,
Uganda,kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 8,
2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la
Wananchi la Tanzania Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo kabla ya kabla
ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi
za Maziwa Makuuasubuhi leo Agosti 8, 2012. Katikati yao ni Inspoekta
Jenerali wa Polisi Saidi Mwema.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment