Shabiki
mmoja chapombe Ashley Gill-Webb, mwenye umri wa miaka 34, anayejulikana
kama Ashley Gill, baba wa watoto wawili apandishwa kizimbani katika
mahakama ya Thames Magistrates, Septemba 3, mwaka huu kwa kosa la
kumtupia chupa mwanariadha Usain Bolt wakat anataka kuanza kukimbia
jana, ila kwa bahati nzuri haikumfikia. Tazama tukio kamili tangu
anarusha chupa hadi anatiwa mikononi na Polisi.
Ashley Gill kutoka South Milford, jirani na Leeds, akidhibitiwa na askari muda mfupi baada ya kurusha chupa
Jamaa anakula kibano
Amekwishatulizwa...
Cheki chupa ilivyomkosakosa Bolt, akijiandaa kwa mbio za mita 100 fainali Olimpiki, kwenye Uwanja wa Olimpiki
No comments:
Post a Comment